mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake alipoamua kuhatarisha maisha yake kwa kuamua kujitokeza katika dirisha ya jengo refu ili kuwahi kuwapiga picha panya road wa kisiasa waliokuwa wakizurura hovyo hovyo kutoka buguruni kuelekea posta na hatimaye kumalizia kinondoni manyanya mapema wiki hii ( picha na cleverbright wa jf ).