First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Feb 26, 2013 #2 Utumwa, anajipendekeza kwa mwalimu Salma
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Feb 26, 2013 #3 Binafsi nina tafsiri sahihi kabisa ya picha hiyo, lakini naogopa ban.
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Feb 26, 2013 Thread starter #4 Komeo said: Binafsi nina tafsiri sahihi kabisa ya picha hiyo, lakini naogopa ban. Click to expand... mkuu Invisible atakuruhusu tu, wewe ipe maneno Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Komeo said: Binafsi nina tafsiri sahihi kabisa ya picha hiyo, lakini naogopa ban. Click to expand... mkuu Invisible atakuruhusu tu, wewe ipe maneno
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Feb 26, 2013 #5 Smiling Saint said: mkuu Invisible atakuruhusu tu, wewe ipe maneno Click to expand... Nani wa hivyo? I have already decided to hold my comments. Matendo mengi ya familia hii huwa siyaelewi kabisa. Lakini uwe na amani tu Ndugu yangu.
Smiling Saint said: mkuu Invisible atakuruhusu tu, wewe ipe maneno Click to expand... Nani wa hivyo? I have already decided to hold my comments. Matendo mengi ya familia hii huwa siyaelewi kabisa. Lakini uwe na amani tu Ndugu yangu.
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Feb 26, 2013 Thread starter #6 Komeo said: Nani wa hivyo? I have already decided to hold my comments. Matendo mengi ya familia hii huwa siyaelewi kabisa. Lakini uwe na amani tu Ndugu yangu. Click to expand... Mpaka hapo umetoa jibu tayari..............lol
Komeo said: Nani wa hivyo? I have already decided to hold my comments. Matendo mengi ya familia hii huwa siyaelewi kabisa. Lakini uwe na amani tu Ndugu yangu. Click to expand... Mpaka hapo umetoa jibu tayari..............lol
paradiso JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 1,021 Reaction score 356 Feb 26, 2013 #7 Naamini maneno nitakayoipa hii picha yatasababisha uvunjifu wa amani.... Picha hii sitii neno. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Naamini maneno nitakayoipa hii picha yatasababisha uvunjifu wa amani.... Picha hii sitii neno. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Feb 26, 2013 #8 Smiling Saint said: Mpaka hapo umetoa jibu tayari..............lol Click to expand... Wala jibu langu sio hilo kabisa. Ukumbuke ulitaka picha hiyo iwekewe maneno/maoni. Bado ninayo maneno sahihi (niliyoamua kukaa nayo) ya kuipa picha hiyo.
Smiling Saint said: Mpaka hapo umetoa jibu tayari..............lol Click to expand... Wala jibu langu sio hilo kabisa. Ukumbuke ulitaka picha hiyo iwekewe maneno/maoni. Bado ninayo maneno sahihi (niliyoamua kukaa nayo) ya kuipa picha hiyo.
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Feb 26, 2013 #9 First Born said: Utumwa, anajipendekeza kwa mwalimu Salma Click to expand... Ualimu hata harufu yake ameshaisahau!
First Born said: Utumwa, anajipendekeza kwa mwalimu Salma Click to expand... Ualimu hata harufu yake ameshaisahau!
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Feb 26, 2013 #10 "Picha, chukua maneno".
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,501 Feb 26, 2013 #11 Babylon system
mwenyenchi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 657 Reaction score 189 Feb 27, 2013 #12 Malkia (mwalimu wa UPE) akimkaripia kijakazi wake (injinia)