Ipe maneno hii picha

kweli maneno yako tayari huna haja ya kuandika mengine. Hayo yanatosha
 
Kama ingekuwa anasikia huyo mzee na angeweza kuamka amwone huyo mjumbe wa UVCCM, mzee angetembeza bakora hadi kwa mwenyekiti wa chama chote maana ndiyo hayo yametawala hadi ikulu
 
Mie nimecheka hiyo kofia ya @NY na mkufu wa kibaharia , watu wana visaaaa!
 
Mtu wangu habari za kuzimu? kumbe ulikuwa unaifaidi hii nchi angalau ulivyochomoka nasi tunaneemeka kidogo ulitufumba sana we mzee nchi ni tamu sana tunaishi kama tuko mbinguni siunaniona ulipokuwa hai sikuwa na mwili kama huu bwana sasa ni full starehe.
 
hahahahahaha...ama kweli ****** wa kipanya..jamaa mpuuzi ila.....
 
Zinachukuliwa maji ya shingo yakishakufika tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…