IPE MANENO HII PICHA.....

Huyo sabaya huyo,!!!
 
Ma dkt wamepata kilanja si mchezo.


Ila kabegi kake leo hana
 
Ulimwengu wa Upigaji sekta ya afya umeingiliwa..mitano tena kwetu
 
Kuna mtu hapo anaita dia..πŸ˜…
Huyu mama ni mukali na sio mkali
 
Simpatii picha enzi anasoma.

Mitihani alikua anachabo balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alivyo weka mikono huyo msimuliaji yaani ni uongo 100% na field masho kashamsanda
 
"Anaoanisha kile anachoambiwa na kile anachokifahamu kama viko sawa"


Alichokifanya Magu ni kumweka mtu ambaye kasoro zote ndani ya Wizara ya Afya anazifahamu hapo lazima watumishi wa hiyo Wizara waisome namba.
 
Makonda umempendelea ana mihemko ya ujana ujana, akirudi madarakani atakua tofauti kidogo maana kitaa kimemnyosha, yani sahivi ana adabu za kutosha kusugua benchi sio mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…