IPE MANENO HII PICHA.....

1. JPM --- 100%
2. PM --- 100%
3. Lukuvi --- 100%
4. Silinde --- 100%
5. Doroth Gwajima --- 100%

1. Makonda --- 145%
2. Alli Happy --- 100%
3. Mtaka, DC Simiyu --- 100%
4. Sabaya --- 100%

Hawa waheshimiwa ndio wapewe kuongoza nchi, wengine WOOOTEEE tukae tusikilize tu maelekezo
Huyo sabaya huyo,!!!
 
Ulimwengu wa Upigaji sekta ya afya umeingiliwa..mitano tena kwetu
 
Kuna mtu hapo anaita dia..😅
Huyu mama ni mukali na sio mkali
 
Alivyo weka mikono huyo msimuliaji yaani ni uongo 100% na field masho kashamsanda
 
"Anaoanisha kile anachoambiwa na kile anachokifahamu kama viko sawa"


Alichokifanya Magu ni kumweka mtu ambaye kasoro zote ndani ya Wizara ya Afya anazifahamu hapo lazima watumishi wa hiyo Wizara waisome namba.
 
1. JPM --- 100%
2. PM --- 100%
3. Lukuvi --- 100%
4. Silinde --- 100%
5. Doroth Gwajima --- 100%

1. Makonda --- 145%
2. Alli Happy --- 100%
3. Mtaka, DC Simiyu --- 100%
4. Sabaya --- 100%

Hawa waheshimiwa ndio wapewe kuongoza nchi, wengine WOOOTEEE tukae tusikilize tu maelekezo
Makonda umempendelea ana mihemko ya ujana ujana, akirudi madarakani atakua tofauti kidogo maana kitaa kimemnyosha, yani sahivi ana adabu za kutosha kusugua benchi sio mchezo
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom