Ipatie title hii picha ya Pinda na Mdee

MDEE: Mheshimiwa PM vipi uliidaka ile ya MP Luhaga Mpina kuchapia leo?
PINDA: Duh ile ya mh.Mpina ilikua kali ndo maana Madamuspika nae alisita siulisikia zile "ZE Ze " zake
MKUCHIKA: We unadhani kwanini tumeleta mswaada wa katiba kwenye ile lugha?
 
Pinda: Duuu, naona keshawaka, ngoja nijaribu kupeleka kono nisikilizie reaction kwanza

Pinda: Kapenda, unasemaje Waziri?

Mkuchika: usimlegezee, mbishi mbishi huyo, mpandishie gia za siasa za miafaka kwa sana kwanza
 
Pinda...." NISINGEKUWA MZEE......NINGE.......!! POTELEA MBALI NIITWE FATAKI"
 
Mdee: usilie tena siku nyingine eeeh!
Pinda: Kama sina point ntatokaje hehe
Waziri: kweli eh eh eh ubunifu mzuri
 
Mi kwa ujumla wake huyu mbunge wangu ananimaliza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…