iko kwenye hali nzuri,kama mpya vile 16gb inasehemu yakuweka line ya simu,haina kamera.0655945598
kopo hilo nini? mbona hutaji bei wewe aaa watu wengine bwana
Laki 1.5 utakula? Maana umesema unauza tu na hausemi bei!!! Weka ful specs hapa na bei! Ni apple ipad au Yu Tong? teh teh
Wakati wewe unaleta masihara kwenye mambo ya msingi,wenzio tupo humu jamvini ku make something.nini maana yakuweka namba ya simu???inaelekea hukua seriouse kwanza umeanza kwa ku egnore wakati hata hukutaka kuspenda time just getting to know it,poa,next time ntakucheki na kitu kingine cha apple kwa sasa ninayo iphone 4, 16gb.