Charger yake ulipeleka wapi?
Ni rahisi tu kucharge as long as unao ule waya wake....ila nataka kwanza kujua kama umenunua ipad iliyoibiwa; kwani sipo tayari kusaidia mwizi kufanikisha zoezi lake.
Grim guy, Namba yako?
And why una different prices? Mine ni version ya 3 which needs 10amp power coz hizi zingine zinasema " not charging" and inatumia a Lot of time Kua full.
Grim guy, Namba yako?
And why una different prices? Mine ni version ya 3 which needs 10amp power coz hizi zingine zinasema " not charging" and inatumia a Lot of time Kua full.