hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Kwa kuangalia tu utajua jamaa anauza 955000 kwa akili yako wewe unaona inauzwa 9m,hayo ni makosa ya kutype,haitaji unajimu wa marehemu Yahya kutambua hilo kosa
Daaah
Ama kweli MFUNGWA HACHAGUI GEREZA