Ipad 3 for sale

Ipad 3 for sale

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Posts
1,310
Reaction score
299
Nauza ipad 3 3G + WiFi 16GB, iko bomba na ina charger yake. Nimeinunua Jan 2013. Serious buyer please inbox...

Bei Tshs 950,000/= Negotiable
 
Hahhaha!etii bei siri kama tambikl,nadhan angeweka bei then watu tupate nguvu hata ya kumsaka
 
Mm ninayo ipad 4 nauza kilo 7 tu
Biashara huria, kuna wengine wanauza hata hiyo ipad 4 chini ya hapo....
Suala ni iko ktk hali gani na je wewe unaithaminisha vipi mali yako.
 
ukiwa uko tayari kuchukua 450,000 nicheki kwa 0717 022737
 
ukiwa tayari kunipa kwa laki 4 na themanini..nPM
 
ukiwa tayari kunipa kwa laki 4 na themanini..nPM
Umejitahidi mkuu lakini hiyo ofa yako iko chini sana... May be huyo mwenye ipad 4 anaweza shuka akakuuzia mkuu.
Usikate tamaa.... Gadget yangu hii haitoki kwa kiasi hicho
 
Bei gani..au siri kama tambiko

Mbona jamaa kaweka bei au sasa suala la kuweka bei umekuwa wimbo uliokaririwa,ukiona kiu kinauzwa inatokea korasi ya wimbo''weka bei' jamaa kaweka 9550,000 na maongezi yapo
 
Mbona jamaa kaweka bei au sasa suala la kuweka bei umekuwa wimbo uliokaririwa,ukiona kiu kinauzwa inatokea korasi ya wimbo''weka bei' jamaa kaweka 9550,000 na maongezi yapo

Millioni tisa na nusu.!?? ina jiko na baa ndani!??
 
Mbona jamaa kaweka bei au sasa suala la kuweka bei umekuwa wimbo uliokaririwa,ukiona kiu kinauzwa inatokea korasi ya wimbo''weka bei' jamaa kaweka 9550,000 na maongezi yapo

Soma post ya 4 ndio utamwelewa aliyeulizia bei.
 
Pia kwa mahitaji yako ya cm za samsung, htc ,xperia na nokia zote mpya na used wacliana kwa 0719182848
 
Soma post ya 4 ndio utamwelewa aliyeulizia bei.
Kwa kuangalia tu utajua jamaa anauza 955000 kwa akili yako wewe unaona inauzwa 9m,hayo ni makosa ya kutype,haitaji unajimu wa marehemu Yahya kutambua hilo kosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom