Wakubwa nimeshanganzwa kwa mara kwanza kuwa promptly na messeji kuwa Computer yangu ina conflict na IP address na mtumiaji mwingine...
Nilichokifanya haraka niku retard computer.
Je ndo hiyo kazi ya Cyber Crime ?
Au ndo Kazi ya uchaguzi kufuatilia na kuingia kwenye machine za watu bila wao kujua?
Nisaidieni..
Ilikuwa kwenye FB yangu..