iOS 8 ina bug

Baada ya website au blog ya iPhonehack kuchunguza inasema ios mpya ya apple kwa Sim za iPhone ina bug source: iOS 8 bugs we've found till now C6 chief-mkwawa

Nikajua ni wewe umekutana nazo kumbe ni post ya kwenye mtandao..!! Yawezekana kweli zipo ila Mimi naitumia tangu j5 na zaidi ya ku crash kwa app ambazo hazijawa optimized with iOs 8 (eg. JF) sijaona tatizo lolote na zaidi naendelea kuenjoy features mpya kadri ninayotumia
 
Last edited by a moderator:
Bugs mbona ni vitu vya kawaida sana kwenye software yoyote na ndo maana kuna software update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ