Cool but wont ever work. Why? There is no such thing as free energy and that would be free energy. Ukicharge battery unaweka energy toka kwenye umeme kwenda kwenye chemicals in the cell. Unavyotumia battery tuseme kuwashia taa,unatoka chemical to light kwa hiyo tunaitumia stored energy kupata mwanga. Hata kama ukigawa umeme kidogo upite kwenye taa mwingine ucharge battery,energy itapotea kwenye taa ili upate mwanga mpaka circuit yote itaishiwa voltage na itazima. Hata gari linaweza kuchaji betri yake sababu umeshaweka mafuta(source of energy). The theory of free energy was tested(i saw t on discovery ch. once) but none of the plans worked. Google free energy to see some of the plans.Cha kufanya ni kutafuta source ya energy ambayo ni rahisi kuipata na cheap and reliable you know like the sun or something.