Ningepata maelezo zaidi juu ya hiyo fursa ningepata morali ya kuja. Hapa imeelezwa juu juu tu, na hizi ndizo tabia za watu wasiojiamini au wanaotaka kulazimisha watu. Bora hata ungesema kama wanavyosemaga wenzako wa GNLD, FOREVER LIVING, ORIFLAME, TREVO nk
Meeting ni kwa ajili ya kufafanua zaidi fursa baada ya meeting you will decide to invest or not tutafanya two hours presentation you don't expect hayo maelezo yafit kwenye hiki tangazoToo much words, but still vague. People need to make informed decisions before. Be brief, about the meeting, compelling reasons for them and what's next after the meeting.
Be brief and straightforward kaka.
Vague because you haven't understood if you had understood it you wouldn't day vague, so we have set aside two hours of explanation of the concept at Hyatt regency the Kilimanjaro attend the meeting you will understandToo much words, but still vague. People need to make informed decisions before. Be brief, about the meeting, compelling reasons for them and what's next after the meeting.
Be brief and straightforward kaka.
Hili tangazo lako halinishawishi kabisa kuhudhuria. Napenda sana mafunzo na huwa ninalipia viingilio hata kama ni pesa nyingi lakini najua naenda kujifunza nini. Kwa mfano mtu anaandaa semina na anasema mada ni kujadili mbinu za huduma kwa wateja, au biashara ya ufugaji wa nyuki, au kilimo cha matikiti, au kutoa huduma za afya na kadhalika.Meeting ni kwa ajili ya kufafanua zaidi fursa baada ya meeting you will decide to invest or not tutafanya two hours presentation you don't expect hayo maelezo yafit kwenye hiki tangazo
Very right kaka.Hili tangazo lako halinishawishi kabisa kuhudhuria. Napenda sana mafunzo na huwa ninalipia viingilio hata kama ni pesa nyingi lakini najua naenda kujifunza nini. Kwa mfano mtu anaandaa semina na anasema mada ni kujadili mbinu za huduma kwa wateja, au biashara ya ufugaji wa nyuki, au kilimo cha matikiti, au kutoa huduma za afya na kadhalika.
Lakini kwa hili siwezi kuja na watu wengi kama mimi hawawezi kuja.
Mtu anataka ajue kama hicho kitu kinaendana na ramani na mahitaji yake, na sio mtu mwenye kupenda biashara za huduma ya afya anakuja kupoteza masaa mawili na zaidi halafu meeting yenyewe inazungumzia mambo ya umeme au vitu vingine ambavyo hataweza kuwekeza maishani mwake.
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, lakini ni sehemu ya kuelimishana. Be open and Specific.
This is business is about the future of payment and transactions system 'digital currency' and how people can invest and profit from it, its a an opportunity with countdown very limited the earlier the better(more profit margin)Hili tangazo lako halinishawishi kabisa kuhudhuria. Napenda sana mafunzo na huwa ninalipia viingilio hata kama ni pesa nyingi lakini najua naenda kujifunza nini. Kwa mfano mtu anaandaa semina na anasema mada ni kujadili mbinu za huduma kwa wateja, au biashara ya ufugaji wa nyuki, au kilimo cha matikiti, au kutoa huduma za afya na kadhalika.
Lakini kwa hili siwezi kuja na watu wengi kama mimi hawawezi kuja.
Mtu anataka ajue kama hicho kitu kinaendana na ramani na mahitaji yake, na sio mtu mwenye kupenda biashara za huduma ya afya anakuja kupoteza masaa mawili na zaidi halafu meeting yenyewe inazungumzia mambo ya umeme au vitu vingine ambavyo hataweza kuwekeza maishani mwake.
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, lakini ni sehemu ya kuelimishana. Be open and Specific.
Angalau sasa umeeleweka na kuweza kuhamasisha. Hongera kwa kuwa msikivu na flexibleThis is business is about the future of payment and transactions system 'digital currency' and how people can invest and profit from it, its a an opportunity with countdown very limited the earlier the better(more profit margin)
Like REFARO Africa. [emoji57] or its just you are Refaro? Just asking [emoji124] [emoji124]This is business is about the future of payment and transactions system 'digital currency' and how people can invest and profit from it, its a an opportunity with countdown very limited the earlier the better(more profit margin)
I said this company is not refero!;the only way to prove it is to come and attend the meeting and see it yourself , I wonder how am going to make myself clear on that, I don't even know what refero doesBut according to de brief explanation i saw the up there it resembling as refaro...
Benefit from the 7th Technological Evolution that is happening right now, the hottest Innovative Investment Asset Class in the Financial World
There are about 6 evolutional technologies that have shaped and changed our lives for better ranging from TV, email, mobile phones, social media, and Internet. If you had gotten a chance to go back to 1991 to 2005 to invest in these technological innovations you would be talking different language today, as you all know these technologies created a lot of millionaires and billionaires.
Now the 7th technological evolution is here and it's bigger than all the 6th combined. The good news is you have equal chance to get share of its cake by being part of it and the bad news is you can let it pass by and wait to be end user just like the previous technological evolutions. Join us in our exclusive live presentations and we will show you exactly how you can benefit from this at Hyatt Regency the Kilimanjaro on 30th April 2016 from 2pm to 5pm entrance is 10,000 pee person.
For tickets call 0717190409/0743603298
Hurry limited seats available