Inverter + solar panels

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakubu naomba kujuzwa ni kwa gharama gani na wapi naweza pata solar system + inverter itakayoweza kuzalisha umeme kwa ajili ya matumizi kwenye nyumba yenye vifaa vifuatavyo: 1 deep freezer; 1 small fridge; iron; 10 ceiling fans; 3 tv sets; 25 light bulbs (interior and exterial)
 
Wakuu, naomba kujuzwa je nnaweza pata wapi inverter pamoja na system ya umeme jua (solar) kwa bei ya kawaida kwa ajili ya matumizi kwenye nyumba yenye vifaa vifuatavyo: 25 low voltage bulbs (interior and exterior); 10 ceiling fans; 1 deep freezer; 1 small fridge; 3 tv sets; 1 iron. Basically vitu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…