jibu ni rahis sana, iyo sim itakuwa ya promotion ya mtandao fln, so line no moja ni lazima uweke ya huo mtandao uliokuuzia , yan kama ni promo ya airtel bas line no moja ni lazima iwe ya airtel then no 2 ndio uweke mtandao mwingine wowote! so iyo ni ya promotion