Salama wana jamvi? nina simu yangu aina ya NTTdocomo(product ya LG) Android OS inaleta error sms wakati wakuuliza salio,kuingiza salio pamoja na ku-access huduma za pesa za mitandao inasema 'Invalid MMI code' naomba nisaidieni kwa mwenye ufumbuzi wa hili tatizo