Ni kweli, hii inawaathiri sana introvets huku canada..Ogopa sana mtu anayependa kujifungia chumbani peke yake.
Inasadikika kuwa introvert ni watu wenye maarifa ambao ufeel comfortable kuwa pekee yao kutafakari jinsi ulimwengu unavyoenda lakini turudi kwenye uhalisia mazingira ya kukaa pekee yako at some point yanachochea kuwaza vitu ambavyo ni negative hususani fantasy za ngono.
Sure punyeto live long?Punyeto for life.
Sawa waendelee kutafakariSio kweli introvert wanatafakri tu
Mhh😪🏃♀️Ogopa sana mtu anayependa kujifungia chumbani peke yake.
Inasadikika kuwa introvert ni watu wenye maarifa ambao ufeel comfortable kuwa pekee yao kutafakari jinsi ulimwengu unavyoenda lakini turudi kwenye uhalisia mazingira ya kukaa pekee yako at some point yanachochea kuwaza vitu ambavyo ni negative hususani fantasy za ngono.
Punyeto haina madhara we unakaa ulaya then kichwani 0-0Ni kweli, hii inawaathiri sana introvets huku canada..
Kuwa na ujuzi na kuignore ngono ni vitu viwili tofauti mwanadamu aliyekamilika hawezi kuignore ngono.Introverts wenye ujuzi huwa wanaignore ngono kabisa
Wewe unachanganya vitoto vya sikuhz vinavyojifungia na simu zao ndani na introverts.
Introverts wakijifungia ndan wakatoka ujue wanatoka na kitu cha faida, wengine hata wakioa ni wale kaenda kazini karudi ndani kaoga katulia zake. Wengine kama tesla au newton hawaoi kabisa
Hivi kuna ushahidi wa kisayans kuwa punyeto ina madhara yoyotePunyeto zinakuaribu ubongo, alafu unasingizia introvert
Endelea na hiyo Tabia, kama hutokua shoga.
Kila unapopiga punyeto misuli ya uume na mkund* inazidi kulegea
Yaani ni bora uache hii tabia ikiwa bado changa( kuona aibu) , kuliko usubiri ikomae coz matokeo yake ni kujiua
Na biblia ndo dawa pekee , ya kukuponesha - 20 Bible verse - Agano Jipya / Day
Nna miaka 2 unaenda watatu napiga Nyeto, kila siku ya Mungu ni bao 3 mpaka 4Yaani ni bora uache hii tabia ikiwa bado changa( kuona aibu) , kuliko usubiri ikomae coz matokeo yake ni kujiua
Wewe utakuwa ushahidi soonHivi kuna ushahidi wa kisayans kuwa punyeto ina madhara yoyote
Mti wa muanzi , unachukua miaka - mizizi yake kwenda chini , ila inachukua mwezi - shina kurefuka kwa kasi ya ajabuNna miaka 2 unaenda watatu napiga Nyeto, kila siku ya Mungu ni bao 3 mpaka 4
acheni mawazo mgando
hahaha,Mti wa muanzi , unachukua miaka mizizi yake kwenda chini , ila inachukua mwezi - shina kurefu kwa kasi ya ajabu
Siku ikikomaa , basi ujue tiba yako Ni kitanzi coz ubongo utakuwa umeoza
Sio hisia ,hahaha,
hisia zako tu izo
izo ARV mkimeza nyie mbona inatoshaSio hisia , naongoe na kama majeruhi
Mtoto acha ubishi ,izo ARV mkimeza nyie mbona inatosha
Wenye akili pekee ndio tupo nje ya nchi.. wewe na upuuzi wako kichwani.. endelea kula umaskini hapo Tanzania..Punyeto haina madhara we unakaa ulaya then kichwani 0-0
Sawa lakini wewe kichwani 0-0Wenye akili pekee ndio tupo nje ya nchi.. wewe na upuuzi wako kichwani.. endelea kula umaskini hapo Tanzania..
Hakuna ni wivu tu.Hivi kuna ushahidi wa kisayans kuwa punyeto ina madhara yoyote
Kama ni kweli mkuu.. Crown ya uking wa punyeto inakufaaNna miaka 2 unaenda watatu napiga Nyeto, kila siku ya Mungu ni bao 3 mpaka 4
acheni mawazo mgando
Hamna kitu kama hicho. Punyeto ni punyeto, matokeo yake ni yale yale. Hautoamini siku uapiga kimoko cha fasta fasta na ngoma inalala yooAdjustable unachagua iwe tight au loose. keep calm and carry on.