Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Hizo bei ndugu yangu ni realistic kweli? Mackbook kwa TZS 200,000? Ipod clasic 10000?
nadhani iyo ni dummy au sample content, jamaa kaharakisha kuitangaza
nadhani iyo ni dummy au sample content, jamaa kaharakisha kuitangaza
Kuna baadhi ya vitu tunakamilisha kuweka sawa mkuu ila soon kila kitu kitakuwa kwenye mstari mwanzo tuliweka price kwa dollar lakini ikaonekana kusumbua so ndio tunazichanga kuleta kwa pesa ya kitanzaniahizo bei!hata mm zimenishangaza...
thanks sana mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.Mndengereko Pia unaweza ukajaribu bongoclantz, follclassic Pia kama utakua na vitu ambavyo vinaweza kununuliwa na watu wazima unaweza ukawasiliana na mimi coz ni Technical advisor wa baadhi ya blogs zinzotembelewa na watu wengi kidogo, mfano zanzi news, sufiani mafoto, nakadhalika.
Pia ushauri mwingine hakikisha website yako ipo complete ndipo uanze kuitanganaza, vinginevyo unaweza ukapoteza watemebeleaji, kumbuka first impression ina matter sana.
Mwisho nimependa signature yako