ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Nov 16, 2013 #1 Jamaa kaingia kwenye panel ya interview akaambiwa please wait, jamaa akajibu 75kg.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,594 Nov 16, 2013 #2 Mhishimiwa mmoja R.I.P, yeye kwenye hafla moja kule Dom baada ya msosi akasema I want to speak, watu wote kimya wakifikiri ana neno la kuongea kumbe alitaka kusema I want tooth pick..!
Mhishimiwa mmoja R.I.P, yeye kwenye hafla moja kule Dom baada ya msosi akasema I want to speak, watu wote kimya wakifikiri ana neno la kuongea kumbe alitaka kusema I want tooth pick..!
Martin Maqway Member Joined Sep 22, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Nov 27, 2013 #3 Huyo katisha!75kg walikuwa wanatufutwa washusha mizigo!