Nijuavyo mimi huwez kuwa tutorial assistant kama huna GPA kubwa iliyotokana na performance nzuri kwenye masomo uliyosoma chuo sasa najiuliza hiyo GPA uliyonayo uliipataje??
nikutoe wasiwasi kwa kukwambia kuwa kama GPA uliyonayo umeipata kihalali bila cheating ya aina yeyote just relax usubiri mtihani wa utumishi ufanye na utatusua.
Ila kama ulitumia njia za panya kupata GPA kubwa lazima ukalie tako moja