Interview za World Vision

wende

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
714
Reaction score
67
Mpaka nishasahau, hawa WV by Dec 2013 walitangaza nafasi za Programme Finance & Administration Officers, eti leo j2 wamenipa taarifa kuwa interview j4 Arusha. So waliomba kaani mkao wa kula!
 
walikupigia kwa namba gani mkuu, maana nlikuwa church nkakuta nimepigiwa na namba ambayo siielewi elewi
 
Mpaka nishasahau,hawa WV by Dec 2013 walitangaza nafasi za programme finance & administration officers, eti leo j2 wamenipa taarifa kuwa interview j4 Arusha. So waliomba kaani mkao wa kula!

Kaka hizi ajira zimeshaingiliwa hakuna cha walokole wa World Vision wala wa wapi,nendo kabahatishe lakini nakuambia hao jamaa wameshanitoka rohoni kabisa,ushenzi walionifanyia Mungu atawalipa lakini hata hivo naamini katika kila linalomtokea mwanadamu ni mpango wa Mungu but all in all wamenitoka sana
 

kaka unaweza kuandika hapa walichokufanya au uka ni pm maana ndio mara ya kwanza kuitwa nao interview. please
 
kaka unaweza kuandika hapa walichokufanya au uka ni pm maana ndio mara ya kwanza kuitwa nao interview. please
Hawana jipya hata kidogo,wanaanza na interview ya kuandika then baadae kidogo wanakupiga ya oral then wanakusainisha declaration ya kulinda watoto.Vyote hivo vinafanyika ndani ya siku moja lakini nakuambia hao akina Orestes Sota na kundi lake la HR watakuambia mambo ya kiMungu oooh mistari kwa sana lakini ni watu wa ajabu sana wanapendelea kwenye interview zao.All in all try your lucky maana kila mtu ana bahati yake
 

thanks kaka. ngoja nikajaribu tuu maana naishi hapa arusha.
vipi written yao inakuwa na maswali gani?
 
thanks kaka. ngoja nikajaribu tuu maana naishi hapa arusha.
vipi written yao inakuwa na maswali gani?

Maswali ya written ni ya professional yako eg kama umesoma Accounts wanakuuliza maswali ya Accounts and not otherwise.Kwa kuwa upo Arusha huna cha kupoteza just try your lucky
 
Maswali ya written ni ya professional yako eg kama umesoma Accounts wanakuuliza maswali ya Accounts and not otherwise.Kwa kuwa upo Arusha huna cha kupoteza just try your lucky

mkuu mimi ni accounts. unaweza kunipa hints za maswali au nijiandae shemu zipi?
 
mkuu mimi ni accounts. unaweza kunipa hints za maswali au nijiandae shemu zipi?

Brother am not sure kama upo serious ama you are jocking, kama upo serious take my word dont go to that interview utafeli maana hujiamini hata kidogo. So don't waste your precious time
 
Brother am not sure kama upo serious ama you are jocking, kama upo serious take my word dont go to that interview utafeli maana hujiamini hata kidogo. So don't waste your precious time

asante mkuu. naona msaada wako umeishia hapo. i am nt such a lunatic. thats why even ACCA have examination hints.
 
Brother am not sure kama upo serious ama you are jocking, kama upo serious take my word dont go to that interview utafeli maana hujiamini hata kidogo. So don't waste your precious time

kwani kulikuwa na ugumu kusema wanatoa executorship,au kuhusiana la ias. tuendelee kukomeshana. but umenisaidia kidogo.
God aendelee kukubariki
 
asante mkuu. naona msaada wako umeishia hapo. i am nt such a lunatic. thats why even ACCA have examination hints.

bwna huyo Orestas sota namfahamu alikuwa Rais wangu mzumbe mwaka 2007 jamaa ni mtaratibu sana labda awe amebadilika na msure wake ni lecturer mzumbe pale wewe.rafiki yangu kapige interview usisikilize maneno.ya wakosaji kwani maisha ni kupambana all t
 

kaka nilienda. Na jamaa ni Bonge la mtu na anajua kuishi na watu. Mm niliongea nae after interview na akawa anasema wabongo tumekaa kuponda but worldvision interview zao zipo tight. Hata nikikosa sitasema wanapendelea.
Nimeikubal sana interview yao
 
jamani kama kuna mtu ana namba ya uyo kaka ani pm ninashida nayo kwelikweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…