IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Lakini leseni tunazo tena valid, wangesema kuwa wanahitaji tungekuja nazo. Watu tumesafiri kutoka mikoani tunaishia kutazama maghorofa tuuHawataki waliojifunza udereva usiku
Hatujafanya usahili ndg yangiMwisho wa siku ikawaje?
Leseni ulipata kimagendo. Utapata shida sana ukienda kurenew TRA, watataka cheti Cha mafunzo ya udereva kitu ambacho Huna.Lakini leseni tunazo tena valid, wangesema kuwa wanahitaji tungekuja nazo. Watu tumesafiri kutoka mikoani tunaishia kutazama maghorofa tuu
Hayo mambo ya Kizamani Sana Tena Utakamatwa kwa Sasa kwa Kumiliki Leseni Bila Cheti cha Mafunzo ya Veta.Tatizo mnakurupuka Bila Kusoma Matangazo Mbona hapa Chini Panajieleza Vizuri au Ulitaka Kuja Kushangaa Maghorofa tuu!!Lakini leseni tunazo tena valid, wangesema kuwa wanahitaji tungekuja nazo. Watu tumesafiri kutoka mikoani tunaishia kutazama maghorofa tuu
Yani Troll JF mimi nilikua nafaham wa Tanzania ni wa zito kusoma ila ckujua ni mbaya kiasi hichi.View attachment 589881
Hayo mambo ya Kizamani Sana Tena Utakamatwa kwa Sasa kwa Kumiliki Leseni Bila Cheti cha Mafunzo ya Veta.Tatizo mnakurupuka Bila Kusoma Matangazo Mbona hapa Chini Panajieleza Vizuri au Ulitaka Kuja Kushangaa Maghorofa tuu!!
View attachment 589881