Davies Mwankina
Member
- Nov 15, 2018
- 72
- 54
Nisaidie
mpwayungu villageHabari ndugu,
Naomba kwa wenye uzoefu na maswali yanayo ulizwa kwenye interview ya kazi ya Ualimu kwa Mwalimu mwenye Degree.
Asanteni sana
Akuna interview kwa serikali hila binafsi wanakupa mtihani wa somo lako la kufundishia utakalolichagua uhufanye na kuna marks wanatarget ufikie ni hayo tu
Private interview ipo na wakikupa text ukapata chini ya wastani wao unakula bakora ndo unaajiriwa!Habari ndugu,
Naomba kwa wenye uzoefu na maswali yanayo ulizwa kwenye interview ya kazi ya Ualimu kwa Mwalimu mwenye Degree.
Asanteni sana
Text ndo nini?Private interview ipo na wakikupa text ukapata chini ya wastani wao unakula bakora ndo unaajiriwa!
Sijui mm sio mwalimu
🤣🤣🤣🤣 ngoja akusikieDaaaaaaah!!!
Hivi kwani Teacher mpwayungu village ni degree au diploma holder?
Asante sanaAkuna interview kwa serikali hila binafsi wanakupa mtihani wa somo lako la kufundishia utakalolichagua uhufanye na kuna marks wanatarget ufikie ni hayo tu
Asante sanaPrivate interview ipo na wakikupa text ukapata chini ya wastani wao unakula bakora ndo unaajiriwa!
Alimaanisha testText ndo nini?