Mkuu si upige simu au watumie email kuwauliza kama ni oral au written.Sio dhambi kuuliza wala haito kukosesha kazi.What if ikitokea mwaka huu wamebadilisha utaratibu,utaingia chaka

Ataingia chaka kivipi? Askari wa vita lazima awe tayari muda unaofaa na usiofaa.Kama yupo tayari muda wote wala hataogopa.Mfano yeye aende tu na pen ili akikuta ni ya kuandika aicharange na akama atakuta ni ya kuongea pen si mzigo bado ataiweka mfukoni na ataongea kwenye hiyo interview.Tatizo la vijana wa siku hizi bwana ni taabu sana wamezoea vitu laini mno