Interview ya BOT

Interview ya BOT

dendu

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
23
Reaction score
0
Naombeni msaada kwa wale waliofanya interview BOT post za mwaka jana mniambie inakuwa ni Oral au Writen coz nimeitwa alhamisi
 
naombeni msaada kwa wale waliofanya interview bot post za mwaka jana mniambie inakuwa ni oral au writen coz nimeitwa alhamic

Mkuu si upige simu au watumie email kuwauliza kama ni oral au written.Sio dhambi kuuliza wala haito kukosesha kazi.What if ikitokea mwaka huu wamebadilisha utaratibu,utaingia chaka
 
Hakuna Interview ambayo ni written duniani.
 
Mkuu si upige simu au watumie email kuwauliza kama ni oral au written.Sio dhambi kuuliza wala haito kukosesha kazi.What if ikitokea mwaka huu wamebadilisha utaratibu,utaingia chaka

Ataingia chaka kivipi? Askari wa vita lazima awe tayari muda unaofaa na usiofaa.Kama yupo tayari muda wote wala hataogopa.Mfano yeye aende tu na pen ili akikuta ni ya kuandika aicharange na akama atakuta ni ya kuongea pen si mzigo bado ataiweka mfukoni na ataongea kwenye hiyo interview.Tatizo la vijana wa siku hizi bwana ni taabu sana wamezoea vitu laini mno
 
Mkuu si upige simu au watumie email kuwauliza kama ni oral au written.Sio dhambi kuuliza wala haito kukosesha kazi.What if ikitokea mwaka huu wamebadilisha utaratibu,utaingia chaka

asante
 
ni legal officer II, swali lako la pl cjakuelewa coz na mm nataka kujua kwamba ni oral au written

yap utafanya aptitude test ambayo wengine huita written interview. maswali ni general mengine yatatoka kwenye Kwenye proffessional.
 
Back
Top Bottom