Mimi ningejidai kupiga simu kwa mke wangu nimwambie hivi, mke wangu imekuwaje ukamwachia huyo mende anazururazurura na unajua binti yako keshokutwa ndo wanaanza mitihani ya upasuaji wa mende. Hebu angalia huyo wa pili kama yumo mle kwenye bahasha usije ukasababisha mtoto akafeli mtihani.