interview uhamiaji.

mswangajr2010

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
41
Reaction score
9
jamani hawa jamaa wa uhamiaji walibandika tangazo la kazi ofisini kwao,sasa nauliza hivi majina ya watakaoitwa usaili yatabandikwa ofisini kwao ,watatoa magazetini au watapigiwa simu?
 
Kama ulivopata taalifa na ndivo utakavopata taalifa!Aksante kwa kuuliza ili nawengine wanufaike!
 
Dah, kweli ajira tatizo la kitaifa yaani dead line bado mtu ameshaanza kuwaza short list!
 
Hope watatangaza kwenye magazeti kwani last time nakumbuka walitangazi.
 
wakuu plz naomben walau mniout line hzo kaz nizion cm imeshndwa kudanlod
 
Mbona watu wanasubiri tu mwezi March kwenda CCP, au unaongelea intake nyingine!.
 
Mbona watu wanasubiri tu mwezi March kwenda CCP, au unaongelea intake nyingine!.

si kweli watu mnatakiwa kuomba kama una au mna sifa stahiki,hayo maneno kwamba wanasubiri kwenda CCP au tayari wamepewa ndg zao ya wale waliokata tamaa.pambana mpaka tone la mwisho.ukiitwa kwenye USAILI jina gazetini na kwenye website yao
 
jamani hawa jamaa wa uhamiaji walibandika tangazo la kazi ofisini kwao,sasa nauliza hivi majina ya watakaoitwa usaili yatabandikwa ofisini kwao ,watatoa magazetini au watapigiwa simu?

If you don't hear from us, consider yourself unsuccessful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…