Haya mambo yamekuwa tayari, naangalia majina ktk gazeti la UHURU 5.12.2012,
kama uliomba nafasi ya TUTORIAL ASSISTANT KTK CHUO CHA SANAA, LUGHA NA SAYANSI YA JAMII PAMOJA NA SAYANSI YA DUNIA KAMATA GAZETI FASTA UJIWEKE SAWA.
Hivi wakuu kuna aliye apply Tutorial Assistants for teaching Accounting subjects? kwenye tangazo hawakuonyesha kama wanahitaji watu wa accounting courses but nilijaribu tu ku-apply, so sijui kama kuna yeyote wa kada hii pia aliapply na kupata feedback au ndo wameamua kupotezea kwa kuwa hawahitaji watu wa masomo haya by now...ila nilisikia kwamba wana deficit kubwa ya teaching staffs kwenye kada hii...au kwa kada hii process ya kuajiri ikoje!! I need information, if any one knows about the facts!!
Hivi UDOM na udini ni kweli? Maana siku nilipoenda kwenye interview wenyeji wangu pale UDOM walikuwa wakiniambia majina yako yanaweza kukuponza. Nilipuuzia. Nilipo kuwa eneo la interview lenyewe basi nilisikia Gossip za namna hiyo kwa jamaa fulani watatu wakiongelea Udini ulivyoshika hatamu hapo UDOM.
Basi tokea hapo nikawa mimi ndio mchokozaji wa mada hiyo katika vikundivikundi vya watu, asilimia zaidi ya 80% walikuwa wanasema hiyo ndio habari ya UDOM ila sababu wamesemwa sana huenda wakapunguza kama si wakaacha. Basi hapo nikatamani ningekuwa naitwa Juma Hamis au yanayofanana na hayo.