mwaipembe Member Joined Aug 8, 2011 Posts 93 Reaction score 23 Dec 10, 2011 #1 wanajf mwenye updates kuhusu hizo kazi atujuze tafadhali!
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 615 Dec 12, 2011 #2 mkuu hata mimi naisubiria hiyo ya st Johns, tujuzana kama kuna mwenye details
M matunge JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 442 Reaction score 426 Dec 12, 2011 #3 ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza
ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Dec 12, 2011 #4 matunge said: ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza Click to expand... Khaa! Jaman kila sehemu hakuna matumaini,tufanyeje sasa ili tupate mitaji tujiajiri?
matunge said: ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza Click to expand... Khaa! Jaman kila sehemu hakuna matumaini,tufanyeje sasa ili tupate mitaji tujiajiri?
Kitrack Member Joined Dec 11, 2011 Posts 50 Reaction score 16 Dec 12, 2011 #5 Heslb vipi?au washachakachua tena!!!
S sabrisadick Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Dec 12, 2011 #6 watu weshakula shavu apply kungine bro
Chibidu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 387 Reaction score 50 Dec 13, 2011 #8 Wakuu vipi kuhsu SSRA wameshaajiri? maana tangu waite watu kwenye interview inshapita mwezi. kulikoni? Na kule wizara ya elimu nako vipi? walitangaza kazi ya Project Finance officer, interview bado? Waliokaribu na majiko hayo mawili naomba mnijuze
Wakuu vipi kuhsu SSRA wameshaajiri? maana tangu waite watu kwenye interview inshapita mwezi. kulikoni? Na kule wizara ya elimu nako vipi? walitangaza kazi ya Project Finance officer, interview bado? Waliokaribu na majiko hayo mawili naomba mnijuze
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Dec 13, 2011 #9 matunge said: ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza Click to expand... source?
matunge said: ST JOHN hawana hela ya kuwalipa waalimu....sasa sijui ni issue ya david cameron ....maana chuo kinafadhiliwa na kanisa anglican la uingereza Click to expand... source?
MHOZYA New Member Joined Dec 14, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Dec 14, 2011 #10 Huu kweli ni mwaka wa shetani! Kila kona pagumu!
M matunge JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 442 Reaction score 426 Dec 14, 2011 #11 Jeff said: source? Click to expand... source utawala wa chuo. wataita mara pesa itakapopatikana