Labda baada ya pasaka!!! maana hawana haraka kama uliyo nayo wewe,hebu jifanyie mambo mengine kwa sasa maana watu humu hamlali usingizi mnawaza tu stamico na pccb sijui kuna nini huko
Labda baada ya pasaka!!! maana hawana haraka kama uliyo nayo wewe,hebu jifanyie mambo mengine kwa sasa maana watu humu hamlali usingizi mnawaza tu stamico na pccb sijui kuna nini huko
labda sijasoma vizuri tangazo lao....kwahyo unategemea ushindane na mtu ambaye ni mwajiriwa wa barrick au GGM anaomba kazi stamico na wewe ambaye huna uzoefu kabisa! Ndoto za mchana,wenye uzoefu na kazi hizo ndo watakaopata
Hujawahi ku operate jackleg machine,washing face,,charging and blasting,fire fighting,re entry procedures,occupational health and safety,house keeping etc then unaomba kuingia stamico