Then wakaweka namba za simu ila tatzo hawajasema mwenge sehemu gani na saa ngapi na ukipiga simu hawapokei.
Hizi nafasi ni za wakufunzi kwa ajili ya college watakayofungua Arusha soon.
Plse anayejua tujuzane.
UPDATES!!!!!!
Jana wamewapgia simu wale walofanya usaili ijumaa ya wiki ilopita kuwa alhamisi ni usaili wa pili na watu wameambiwa kila mmoja aandae topic yoyote anayoweza kufundisha.