geofmwemezi
Member
- Mar 21, 2013
- 12
- 1
Mambo vp wadau?
Yeyote mwenye taarifa khs kuitwa kwenye usahili wa post sita za operation trainees naomba anijuze,
Thanks in advance
Mambo vp wadau?
Yeyote mwenye taarifa khs kuitwa kwenye usahili wa post sita za operation trainees naomba anijuze,
Thanks in advance
Umesoma IFM?
Mkuu interview ni tarehe 26/03/2014 kama hujaitwa ndo basi tena.
Mkuu interview ni tarehe 26/03/2014 kama hujaitwa ndo basi tena.
Hapana za mwaka jana na hz n tofauti,japo cjawah kusikia wale wa mwaka jana wameshaitwaKwani zile post zilizotangazwa Mwaka jana mwezi June kama sikosei, mbona hatukusikia watu wakiitwa? au waliitwa kimya kimya?
Hapana za mwaka jana na hz n tofauti,japo cjawah kusikia wale wa mwaka jana wameshaitwa