Interview PPF

Interview PPF

geofmwemezi

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Mambo vp wadau?

Yeyote mwenye taarifa khs kuitwa kwenye usahili wa post sita za operation trainees naomba anijuze,

Thanks in advance
 
Kwani zile post zilizotangazwa Mwaka jana mwezi June kama sikosei, mbona hatukusikia watu wakiitwa? au waliitwa kimya kimya?
 
Kwani zile post zilizotangazwa Mwaka jana mwezi June kama sikosei, mbona hatukusikia watu wakiitwa? au waliitwa kimya kimya?
Hapana za mwaka jana na hz n tofauti,japo cjawah kusikia wale wa mwaka jana wameshaitwa
 
Back
Top Bottom