Habari zenu wadau? Naomba updates za interview za PCCB kwa ambaye ameshafanya tayari zime-base ktk nini hasa? Kwa mwenye taarifa tu. Thank you in advance!!
Habari zenu wadau? Naomba updates za interview za PCCB kwa ambaye ameshafanya tayari zime-base ktk nini hasa? Kwa mwenye taarifa tu. Thank you in advance!!
Kama upo ktk line ya kufanya interview ndugu sidhani kama wale waliokwishafanya watakujibu..Sababu ni obvious, cha muhimu fanya research ya kutosha kuhusu field yako na pccb in general,kama bahati ni yako utashinda tu.