interview pccb

Hivi ni kweli kuwa hawatachukua Graduates waliomaliza mwaka huu? Maana kuna watu tayari washavumisha kuwa watachukua tu graduates waliomaliza 2012 kurudi nyuma... Any assurance please...
 
Utajiitaje Graduate kabla ya Graduation mkuu. Huwezi ukawa shortlisted kwa kuambatanisha provision au statement of results. Bora buku lako la stemp ungenywea NOVIDA ya sh 1000.
 
Hivi ni kweli kuwa hawatachukua Graduates waliomaliza mwaka huu? Maana kuna watu tayari washavumisha kuwa watachukua tu graduates waliomaliza 2012 kurudi nyuma... Any assurance please...

Usiishi kwa uvumi! Tafuta ukweli ili kujiridhisha.Lakini pia ukiangalia Tangazo la kazi, linakuhitaji mwombaji uwe na vyeti halisi.Sasa wew hata graduation bado, hivyo viambatanisho na CV yako itakaaje? Yaani kabla hata hujatunukiwa hiyo shahada unataka kuajiriwa wakati kuna maelfu ya wahitimu wako timamu...
 
Hivi ni kweli kuwa hawatachukua Graduates waliomaliza mwaka huu? Maana kuna watu tayari washavumisha kuwa watachukua tu graduates waliomaliza 2012 kurudi nyuma... Any assurance please...

Sasa wewe graduate wa mwaka 2013, Transcript na Cheti umetoa wapi?
 
Wandugu wale mlioitwa huko pccb yenu.
Hio aptitude test ndio test ya aina gani?
 
mkuu unamaanisha waliomba ambao hawajaona majina yao wanaweza kuitwa baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…