Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 674
- 836
Habari ya ijumaa wakuu
Nime apply post za JKT nategemea kufanya usahili hivi punde, hivyo basi namba kupata tips mbili tatu ili niibuke kidedea itakua fedheha kwangu endapo nikikosa maana ukoo mzima umepata hizi taarifa zangu za kutuma maombi nikishindwa yasijejitokeza maneno ya kejeri na kebehi kwangu.
Najua sio mahali sahihi ila naomba mniwie radhi wakuu sio lengo langu naandika huku nina hofu ya kuwa disqualified.Itakua vema kama nikapata michango ya kutosha kuliko vitisho,kebehi na kukatishana tamaa.
Tunatoka sehemu tofauti huenda nachokifikiria sasa ndo mkombozi wangu tofauti na watu wengine waliokwisha fanikiwa kubeza n.k
Asanteni sana ila nasikia kuna changamoto ya mlundikano wa recruiters kule makambini intake kama nne au tano bado zipo bila ajira huwezi jua ya Mungu ni mengi.
Nawasilisha.