Interview @KPMG 2013

Interview @KPMG 2013

Kawegere

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
20
Reaction score
0
Please wanajamii,, nimeitwa kwenye interview ya KPMG baada ya kupita kwenye aptitude test,, naomba mwenye ufaham wa common question asked anisaidie,, i never attended any interview before
 
Would you let us know what KPGM means and show full discosure of the position you applied! It is from this premise the majorities may advice you
 
KPMG ni kampuni kubwa kati ya nne kubwa zaidi dunian za ukaguzi wa mahesabu,na ushauri wa kibisahara!!
Yaan it is auditing firm
 
jiandaena maswali ya auditing especialy external auditing,assurance na nyingine.............
 
call me 0767 940 494 will help u nimefanya nao interview mpk stage ya mwisho 2005
jiandaena maswali ya auditing especialy external auditing,assurance na nyingine.............
 
Back
Top Bottom