Interview hindu mandal hospital

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Habari wana jamvi, mwenye kufaham anijuze hiii
Wiki ilopita nimefanya usaili wa kuandika hapo hindu mandal hospitali tukaambiwa tuondoke na tutapewa taarifa ili turudi kwa oral interview
Mwenye kufaham inaweza ikachukua mda gani tuitwe kwa oral interview.
Roho inanidunda kwa kuifikiria hiyo interview et
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…