Interview hii

Uhakiki wa vyeti ungekuwa style hii.

Halafu uanzie kule Mbatia anataka .....!!
 
Sasa interview yenyewe nimekuja kuomba huku nataka ajira kwa udi na uvumba!!!! Chochote mtakachoomba naweza toa kumbe ndio usaili wenyewe, dah.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha has ha ha haaaaaah, sasa mtu asiyetunza siri unampa ajira ya nini?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…