Interview CMSA

Interview CMSA

umepigiwa kwa nafasi ipi,maana mm nimepigiwa toka week iliyopita na interview inafinyika j.tano tar 13,udsm
 
intrvw lini wamesema?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jaman CMSA si ilitangazwa na Utumishi na mchakato mzima unasimamiwa na hawa jamaa?? na utumishi wana utaratib mzuuriii tu wakuweka majina yote wanaoitwa kwnye interview so mtu ukiona hauko kwnye list fasta tu unaangalia mpango mwingine ssa huu mpango tena wakupginiana sim mtu unakaa unasubiria sim uko ni kurudi tena zama za ujima labda ka waliopgiwa sim waliwekwa kwnye database
 
Back
Top Bottom