S storage JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 520 Reaction score 147 Dec 24, 2014 #21 Viol said: hivi lugha halisi ni meno ya tembo au pembe za ndovu?au zote sahihi? Click to expand... Kitu ni kilekile meno ya tembo, pembe za ndovu hujaelewa kitu hapo kweli au wewe ni ndugu na Kinana?
Viol said: hivi lugha halisi ni meno ya tembo au pembe za ndovu?au zote sahihi? Click to expand... Kitu ni kilekile meno ya tembo, pembe za ndovu hujaelewa kitu hapo kweli au wewe ni ndugu na Kinana?
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Dec 24, 2014 #22 Elli said: Ok issue sio kuwakamata but ni kile kinachofuata after kukamatwa! Mbona wameshakamatwa wengi tu. Where are they?? Click to expand... Point, mbwembwe za ukamataji nyingi sana, lakini mwisho wa siku inakuwa kama yule aliyesafirisha twiga kwenye ndege ya jeshi
Elli said: Ok issue sio kuwakamata but ni kile kinachofuata after kukamatwa! Mbona wameshakamatwa wengi tu. Where are they?? Click to expand... Point, mbwembwe za ukamataji nyingi sana, lakini mwisho wa siku inakuwa kama yule aliyesafirisha twiga kwenye ndege ya jeshi
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,252 Reaction score 10,248 Dec 25, 2014 #23 Akina FaizaFoxy watakuja hapa kumtetea so long as ni wa Dini yao Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Dec 25, 2014 #24 Bramo said: Akina FaizaFoxy watakuja hapa kumtetea so long as ni wa Dini yao Click to expand... Hakuna mahala Uislam unaamrisha kuvunja sheria mpaka pale sheria hiyo itapokuwa inakandamiza Uislam. Kumbuka hilo.
Bramo said: Akina FaizaFoxy watakuja hapa kumtetea so long as ni wa Dini yao Click to expand... Hakuna mahala Uislam unaamrisha kuvunja sheria mpaka pale sheria hiyo itapokuwa inakandamiza Uislam. Kumbuka hilo.
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,252 Reaction score 10,248 Dec 25, 2014 #25 FaizaFoxy said: Hakuna mahala Uislam unaamrisha kuvunja sheria mpaka pale sheria hiyo itapokuwa inakandamiza Uislam. Kumbuka hilo. Click to expand... Huo ndio Uslam,lakin kwa nyie wadini so long as mvunja sheria ni Mwenzenu then mtamtea kwa Gharama zote. Reffer JK na wizi wa Escraw
FaizaFoxy said: Hakuna mahala Uislam unaamrisha kuvunja sheria mpaka pale sheria hiyo itapokuwa inakandamiza Uislam. Kumbuka hilo. Click to expand... Huo ndio Uslam,lakin kwa nyie wadini so long as mvunja sheria ni Mwenzenu then mtamtea kwa Gharama zote. Reffer JK na wizi wa Escraw
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Dec 25, 2014 #26 Bramo said: Huo ndio Uslam,lakin kwa nyie wadini so long as mvunja sheria ni Mwenzenu then mtamtea kwa Gharama zote. Reffer JK na wizi wa Escraw Click to expand... Unaleta ujinga sasa kuna Muislam aliyetajwa kwenye escrow? au unataka kuanzisha ligi ya udini makusudi tu? Pombe za kusherehekea sikukuu ya kipagani zimesha-kuingia vizuri?
Bramo said: Huo ndio Uslam,lakin kwa nyie wadini so long as mvunja sheria ni Mwenzenu then mtamtea kwa Gharama zote. Reffer JK na wizi wa Escraw Click to expand... Unaleta ujinga sasa kuna Muislam aliyetajwa kwenye escrow? au unataka kuanzisha ligi ya udini makusudi tu? Pombe za kusherehekea sikukuu ya kipagani zimesha-kuingia vizuri?
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,252 Reaction score 10,248 Dec 25, 2014 #27 FaizaFoxy said: Unaleta ujinga sasa kuna Muislam aliyetajwa kwenye escrow? au unataka kuanzisha ligi ya udini makusudi tu? Click to expand... Nani mmiliki wa Simba trust ?
FaizaFoxy said: Unaleta ujinga sasa kuna Muislam aliyetajwa kwenye escrow? au unataka kuanzisha ligi ya udini makusudi tu? Click to expand... Nani mmiliki wa Simba trust ?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Dec 25, 2014 #28 Bramo said: Nani mmiliki wa Simba trust ? Click to expand... Bramo Singh. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,688 Reaction score 140,355 Dec 25, 2014 #29 Bramo said: Nani mmiliki wa Simba trust ? Click to expand... Mrisho & Family
gollocko JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 2,945 Reaction score 2,283 Dec 25, 2014 #30 Vipi yule msomali yeye atakamatwa lini?