INTERNSHIPS Opportunities DSM at Disney International Consultancy: IT, Mass Media and Graphics Designer

MSABATO12

Member
Aug 10, 2021
6
45
Position: IT, MASS MEDIA AND GRAPHICS DESIGNER - 2 posts
Location
– Dar es Salaam
Position Type – 2 Position
Organization Type – Consultancy Company
Application Deadline: 20/09/2021

Job Description
We are looking for an Aggressive, dynamic, energetic and exceptional creative person to do the following task in Dar es salaam.
• Promoting all Disney’s Research, Training and Consultancy online.
• Providing technical support to the company.

Experience and Qualification
Three (3) years’ Experience.
• Degree/Diploma qualification of IT, Mass Media, Graphics Design or related field,
• Ethical and hardworking.

Application Procedures
Send your CV to md@disneytz.co.tz with a cover letter explaining why you are applying for the position, your expectation in terms of goals achievement.
The deadline for application is the 20th of September, 2021.
 
Sarri

JF-Expert Member
May 25, 2018
996
1,000
Hao Disney wapeleke upumbavu huko. Mtu mwenye 3 years working experience aombe kufanya internship kwao? Wanadhani wao ni nani
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,068
2,000

Watu wa graphics wapo wanauwezo wa kutengeneza any animations na pia uwezo wakukutafutia vijana na kuwa trained pia inawezekana. Weka dau lako (utawalipa kiasi gani) nikuletee ata watano! wanajua na wanaweza kazi ila awataki bra bra.wanaweza share na wewe showreal zao kama unataka au unaweza wapa kajikazi ka animation wakakutengenezea ukaangalia ujuzi wao
 
Whiteman confusing

JF-Expert Member
Sep 12, 2020
334
500
Watu wa graphics wapo wanauwezo wa kutengeneza any animations na pia uwezo wakukutafutia vijana na kuwa trained pia inawezekana. Weka dau lako (utawalipa kiasi gani) nikuletee ata watano! wanajua na wanaweza kazi ila awataki bra bra.wanaweza share na wewe showreal zao kama unataka au unaweza wapa kajikazi ka animation wakakutengenezea ukaangalia ujuzi wao
Mkuu si ndio uambiye wafanye applicatio mbona hiyo ipo wazi
Inaonekana jamaa wapo smart sana kwenye kazi zao ndio maana wana taka mtu ambaye kidogo hana experience ya kutosha

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,068
2,000
Mkuu si ndio uambiye wafanye applicatio mbona hiyo ipo wazi
Inaonekana jamaa wapo smart sana kwenye kazi zao ndio maana wana taka mtu ambaye kidogo hana experience ya kutosha

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
wanataka intern na sio wa kuajiri! akuna mtu anaejua kutengeneza animation kwa kutumia mfano 3D max,Adobe etc akakubali kufanya kazi kama intern.Vijana wapo na ni wabobezi na wanafanya kazi nyingi tu za animation akiwa serious kweli anicheck tupeane mwongozo.Disney tz. ni local company sio international ile ya USA.so ata jinsi ya tangazo lake lilivyo alipo kama yanavyokuwaga wakati makampuni yanatafuta animinators. Angalia Tangazo linavyotakiwa liwe hapa chini
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
19,209
2,000
Hao Disney wapeleke upumbavu huko. Mtu mwenye 3 years working experience aombe kufanya internship kwao? Wanadhani wao ni nani
Hao intership mshahara waweza zidi milion changamkieni fursa hizo oooh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom