Internship

Internship

spal

Member
Joined
Jan 20, 2015
Posts
8
Reaction score
7
Habari wana jamii forum ,nilikuwa naomba kusaidiwa kwa yeyote anae fahamu ofisi wanayo pokea internship tafadhali ,nimesomea bachelor in Business adminstration chuo cha uhasibu
 
Heeeee ww mbonaa kazi kibao za course yako hebu acha uvivu ......ingia kwenye ma site ya ajiraaa
 
Issue sio uvivu sehemu nyingi ukipeleka barua hawapokei maombi na kwenye mitandao una apply sana lakini no response
 
Habari wana jamii forum ,nilikuwa naomba kusaidiwa kwa yeyote anae fahamu ofisi wanayo pokea internship tafadhali ,nimesomea bachelor in Business adminstration chuo cha uhasibu
ALL THE BEST
 
Back
Top Bottom