Internship tcc

cnteer

New Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Habari,, naomba mtu ambaye amewahi kufanya interview ya internship TCC hivi karibun anipe muongozo wa maswali. ahsante.
 
mkoa gan unaenda kufanya interview? lini?
 
Habari,, naomba mtu ambaye amewahi kufanya interview ya internship TCC hivi karibun anipe muongozo wa maswali. ahsante.

unatakiwa ujue kujieleza na uwe unajiamin hamna muongozo
Jarib kutafuta ajira moja kwa moja km huna refa utasota sn!
 
Qns.
1.Tumbaku ni nini?
2.Kipi bora kati ya tumbaku na bange? Na kwanini?
3.Sigara ya nyota ina faida gani katika pato la tz.? Mengine niliyoulizwa ntazidi kuyakumbuka nikurushie.
 



maswali yamenifurahisha sana hayo,eeeehhhh banaaaa tulia kuitwa bado hata hujaitwa unakimbilia nini kuanza kuuliza miswali na usipoitwa je
:tape:
 
Acheni kumuzingua Hapa Dodoma walikuja hii July Dodoma hotel,intavyuu zao wanaanza kwa kupiga presentation baada ya hapo mnapata tea,wakiwa wamepwapa karatasi ina swali moja na taarifa unajaza,mule then baada ya tea mmoja mmoja mnapigwa oral baada mwisho wanawapa lunch tshirts na mapakyi ya sigara HR wao anaitwa Angela magencha inatakiwa uwahi sana mkubwa tulikuwa ishirini watatu wakachelewa hawakuingia
 
Hivi wanazunguka mikoani pia na hivi dar tayari? Maana niliombaga kimazabe siku ya deadline yenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…