zoyler22 Member Joined Dec 24, 2024 Posts 8 Reaction score 9 Mar 1, 2025 #1 Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???!
Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???!
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,553 Reaction score 3,985 Mar 1, 2025 #2 Sukari apaa mawazo ya kichuo chuo utoto raha.
N neno ni upanga JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 708 Reaction score 2,373 Mar 1, 2025 #3 Internship sio garantee ya kupata ajira hapo zikitoka! Wewe kafanye upate ujuzi! Wakati huo pambania ajira kwa kuhudhuria usaili pale utumishi
Internship sio garantee ya kupata ajira hapo zikitoka! Wewe kafanye upate ujuzi! Wakati huo pambania ajira kwa kuhudhuria usaili pale utumishi
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 6,394 Reaction score 10,892 Mar 1, 2025 #4 Intership unalipwa kidogo ,wengi ni pesa ya usafiri na chakula..Lakini ishu ya ajira unaweza kuangukia pua.
Intership unalipwa kidogo ,wengi ni pesa ya usafiri na chakula..Lakini ishu ya ajira unaweza kuangukia pua.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,163 Reaction score 54,329 Mar 1, 2025 #5 zoyler22 said: Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???! Click to expand... Tanapa walisha sitisha hiyo kitu
zoyler22 said: Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???! Click to expand... Tanapa walisha sitisha hiyo kitu
Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 5,441 Reaction score 10,048 Mar 1, 2025 #6 zoyler22 said: Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???! Click to expand... Kumbe hata kupata bado huja pata dogo? Sasa una wazaje ajira ilihali iyo intern yenyew hujapata
zoyler22 said: Nilikua nauliza km nikifanya internship kati ya hizi taasisi 2 kutakua na uwezekano wa kupata ajira zikitoka af pia hua wanalipa intern???! Click to expand... Kumbe hata kupata bado huja pata dogo? Sasa una wazaje ajira ilihali iyo intern yenyew hujapata
zoyler22 Member Joined Dec 24, 2024 Posts 8 Reaction score 9 Mar 1, 2025 Thread starter #7 Atacms said: Kumbe hata kupata bado huja pata dogo? Sasa una wazaje ajira ilihali iyo intern yenyew hujapata Click to expand... Uhakika wa kupata ninao ndomana nikawa nauliza
Atacms said: Kumbe hata kupata bado huja pata dogo? Sasa una wazaje ajira ilihali iyo intern yenyew hujapata Click to expand... Uhakika wa kupata ninao ndomana nikawa nauliza
zoyler22 Member Joined Dec 24, 2024 Posts 8 Reaction score 9 Mar 1, 2025 Thread starter #8 Detective J said: Tanapa walisha sitisha hiyo kitu Click to expand... Kwamba hawatoi intern ama
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,163 Reaction score 54,329 Mar 1, 2025 #9 zoyler22 said: Kwamba hawatoi intern ama Click to expand... Yap
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,631 Reaction score 193,599 Mar 1, 2025 #10 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw