Ndugu wajamvi,
Napenda kuwatangazia fursa ya "internship" hapa Arusha ya muda kati ya wiki 3-5. Muhitaji awe amefuzu ngazi ya diploma na kuendelea. Mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia private message (PM). Utaratibu upo kumuwezesha Intern kuyakabili majukumu yake, na ni kazi ya field na ofisi kidogo. Fursa hii ni kwa mtu mmoja tu. Mwenye nia asichelewe kujibu tangazo hili.
Trainee (Sociologist / Community Development)
Asanteni.