Ungejua hao Serikali unaowaomba ndio wamesababisha hata Bundle alishikiki basi ungeelewa kwamba unachofanya ni kumuachia Fisi akulindie kuku wako...
Kabla Serikali / TCRA haijaja na mawazo yao ya bei elekezi watu walikuwa wanatwanga mpanga vifurushi vya offer / Bure usiku..., matokeo yake hawa jamaa wapenda kumkamua mwananchi walivokuja na bei elekezi the rest is history....
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...