nimekuwa nikihangaika kwa muda mrefu sana, ku activate Internet Sharing kwenye my Nokia Lumia, na ilikuwa ikigoma kwa muda mrefu sana, nikajaribu kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na ku update software from Lumia Amber to Lumia Black, but haikusadia, nikabadili APNs, wapi, nika reset simu several times lakini, ikawa bila bila, baadaye nikapiga simu customer care zote za simu za mkononi lakini na wao hawakunipatia ufumbuzi, today nimefanikiwa.
kama unatatizo hili fanya yafuatayo na tatizo lako litakuwa solved, binafsi sijajua exactly, ni kitu gani specifically kilichotatua hilo tatizo, but kikubwa zaidi nadhani ni kubadili language and region na kuweka English, coz mwanzoni ilikuwa English (united States), lakini zaid ya hapo nili update software zote.
!!!just to share it!!!