Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Jan 30, 2015 #1 Wakuu naomba Msaada, Nipo maeneo ambayo internet ni ya edge,Kwenye PC ni kero tupu Kwa mitandao yote,tigo,vodacom,airtel hadi TTCL .hivi ipo njia rahisi na nafuu ya kupata network ya 3G ?
Wakuu naomba Msaada, Nipo maeneo ambayo internet ni ya edge,Kwenye PC ni kero tupu Kwa mitandao yote,tigo,vodacom,airtel hadi TTCL .hivi ipo njia rahisi na nafuu ya kupata network ya 3G ?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jan 30, 2015 #2 TTCL ? Hapana hawana edge hao wana CDMA na EVDO. Jaribu kutumia vodacom, eka 3g only then eka tick data roaming unaweza pata 3g
TTCL ? Hapana hawana edge hao wana CDMA na EVDO. Jaribu kutumia vodacom, eka 3g only then eka tick data roaming unaweza pata 3g